Wamakonde ndiyo kabila linaonekana ndilo lina exposure? Maana kila sehemu wapo

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
458
Aisee nimeshangazwa sana aisee inaonekana wamakonde ndilo kabila lenye exposure sana aisee kwa hapo Tanzania maana nimeona karibia kila nchi wapo yaani wamakonde nawafananisha na wanaijeria au wakenya kwasababu huku nilipo yaani yues kwenye hili jimbo la Wisconsin kila ukikutana na wabongo wengi ukiwauliza kabila anakuambia yeye ni mmakonde na ndilo kabila linaloheshimika sana hapa Yues kwasababu ya ukarimu wao aisee

Na hii ukarimu na ustaarabu wa wamakonde hupo hata huko kwenu Tanzania naona moja ya kabila linaloonekana ni wakarimu ni wamakonde yaani kila mkoa wamakonde ndiyo wanasifiwa kwa ukarimu wao daah hii imenifanya niwaze kuoa wamakonde maana kwa huku marekani wamakonde wamejazana sana unafikiri ni kwao aisee! Hongereni sana wamakonde .
 
Ukitaka wamakonde nenda Msumbiji. Hapa Tz ni wachache san, tena waliolewea kutokea Msumbiji, na kujipenyeza maeneo mbali mbali ya nchi.
 
Kule Kanda ya Ziwa ukitaja Mmakonde wanajulikana km "walawatu" ni kabila lisilojulikana kabisa zaidi ya kula nyama za watu..
 
Aisee nimeshangazwa sana aisee inaonekana wamakonde ndilo kabila lenye exposure sana aisee kwa hapo Tanzania maana nimeona karibia kila nchi wapo yaani wamakonde nawafananisha na wanaijeria au wakenya kwasababu huku nilipo yaani yues kwenye hili jimbo la Wisconsin kila ukikutana na wabongo wengi ukiwauliza kabila anakuambia yeye ni mmakonde na ndilo kabila linaloheshimika sana hapa Yues kwasababu ya ukarimu wao aisee

Na hii ukarimu na ustaarabu wa wamakonde hupo hata huko kwenu Tanzania naona moja ya kabila linaloonekana ni wakarimu ni wamakonde yaani kila mkoa wamakonde ndiyo wanasifiwa kwa ukarimu wao daah hii imenifanya niwaze kuoa wamakonde maana kwa huku marekani wamakonde wamejazana sana unafikiri ni kwao aisee! Hongereni sana wamakonde .
UONGO
 
Kule Kanda ya Ziwa ukitaja Mmakonde wanajulikana km "walawatu" ni kabila lisilojulikana kabisa zaidi ya kula nyama za watu..
mkuu wa mkoa wa mwanza saidi mtanda ni mmakonde hebu niambie amewala wangapi? na je anawala wa kike tu! au na nyinyi wa kiume tayali amewakula?
 
Eloo nnimala chimakondee
Makabila yaliyo sambaa sana ni Wasukuma , Wachaga,Na wanyakyusa ila wengine hamna kitu... Wamakonde wamejazana dar tu na sehem kubwa ni mbagala. Ni wapi uliendq ukawakuta kwa wingi kama hayo makabila hapo juu.
 
Kule Kanda ya Ziwa ukitaja Mmakonde wanajulikana km "walawatu" ni kabila lisilojulikana kabisa zaidi ya kula nyama za
Makabila yaliyo sambaa sana ni Wasukuma , Wachaga,Na wanyakyusa ila wengine hamna kitu... Wamakonde wamejazana dar tu na sehem kubwa ni mbagala. Ni wapi uliendq ukawakuta kwa wingi kama hayo makabila hapo juu.
Tembea uonee ndugu
 
Wamakonde wapo Tanzania, Mozambique,Malawi,Zimbabwe,Angola, south Africa etc
 
Back
Top Bottom