mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
Muhindi na wako utangoo chimakonde?Ulambila wako
Pale asiejua anapojitia mjuaji naona umekaza fuvu kweli kweliUkitaka wamakonde nenda Msumbiji. Hapa Tz ni wachache san, tena waliolewea kutokea Msumbiji, na kujipenyeza maeneo mbali mbali ya nchi.
UONGOAisee nimeshangazwa sana aisee inaonekana wamakonde ndilo kabila lenye exposure sana aisee kwa hapo Tanzania maana nimeona karibia kila nchi wapo yaani wamakonde nawafananisha na wanaijeria au wakenya kwasababu huku nilipo yaani yues kwenye hili jimbo la Wisconsin kila ukikutana na wabongo wengi ukiwauliza kabila anakuambia yeye ni mmakonde na ndilo kabila linaloheshimika sana hapa Yues kwasababu ya ukarimu wao aisee
Na hii ukarimu na ustaarabu wa wamakonde hupo hata huko kwenu Tanzania naona moja ya kabila linaloonekana ni wakarimu ni wamakonde yaani kila mkoa wamakonde ndiyo wanasifiwa kwa ukarimu wao daah hii imenifanya niwaze kuoa wamakonde maana kwa huku marekani wamakonde wamejazana sana unafikiri ni kwao aisee! Hongereni sana wamakonde .
mkuu wa mkoa wa mwanza saidi mtanda ni mmakonde hebu niambie amewala wangapi? na je anawala wa kike tu! au na nyinyi wa kiume tayali amewakula?Kule Kanda ya Ziwa ukitaja Mmakonde wanajulikana km "walawatu" ni kabila lisilojulikana kabisa zaidi ya kula nyama za watu..
Eloo nnimala chimakondeeMuhindi na wako utangoo chimakonde?
Makabila yaliyo sambaa sana ni Wasukuma , Wachaga,Na wanyakyusa ila wengine hamna kitu... Wamakonde wamejazana dar tu na sehem kubwa ni mbagala. Ni wapi uliendq ukawakuta kwa wingi kama hayo makabila hapo juu.Eloo nnimala chimakondee
Kule Kanda ya Ziwa ukitaja Mmakonde wanajulikana km "walawatu" ni kabila lisilojulikana kabisa zaidi ya kula nyama za
Tembea uonee nduguMakabila yaliyo sambaa sana ni Wasukuma , Wachaga,Na wanyakyusa ila wengine hamna kitu... Wamakonde wamejazana dar tu na sehem kubwa ni mbagala. Ni wapi uliendq ukawakuta kwa wingi kama hayo makabila hapo juu.