Nimezunguka baadhi ya mikoa Tanzania kama vile Dar, Iringa, Mbeya, Morogoro, Lindi ,Kilimanjaro na Pwani lakini kuna Nkoa unaitwa Ntwara daaaaa๐๐
Watu wa mkoa wa Ntwara ni wazuri sana mdomoni yaani kitaalamu (win-win agreement) hasa unapopanga naye jambo la tija au ustawi wenu...
๐๐ Sasa jichanganye matokeo yatakuwa hivi( lose-win agreement) yaani wanasahau makubaliano kabisaaaaaaaaaaaa tena hadi ana apa na kiapo cha dini yaani yeye anabaki kuwa mshindi wewe umepoteza..
Jambo jingine ni kwamba They never keep promise ( uwezo wa kutunza ahadi ni hafifu sana) yaani anaweza kukuambia nimepanda boda nafika dk 5 lakini atafika baada ya masaa 2 na ukimuuliza vipi ilikuwaje?
Atakujibu tu nilikuwa nakula ๐๐