(Ntwala kuchele valongo vangu)
nnamilume na vamahe vohevohe tukojane epa tukamasane,
nguhalile mwakau uidile dachi! nangu nive kuarusha,nnyangu uve kwachi? madengo lachidachi mwakau uniwena kukaya kunakamasa valongo vako?
nnamilume na vamahe vohevohe tukojane epa tukamasane,
nguhalile mwakau uidile dachi! nangu nive kuarusha,nnyangu uve kwachi? madengo lachidachi mwakau uniwena kukaya kunakamasa valongo vako?
Tafsiri isiyo rasmi kumekucha jamaa zangu)
Wanaume na Wanawake wote wote, tukutane hapa tuamkiane/ tusalimiane,niambie mwaka huu ulikuja/ulikuwaje vipi!Mimi niko Arusha, mwenzangu uko wapi?Mambo/Mipango/Michakato ikoje au inaendaje, mwaka huu ulienda nyumbani, kuwasalimia au kuamkia ndugu zako?
Hiyo ndo tafsiri. Kwa kimakonde, nyumbani ni KUKAYA, wakati wazaramo/ waluguru/ wakwere / wakutu wanaita UKAE!