Wamakonde tafadhalini sana, laana itawafuata na hata milele

Wamakonde tafadhalini sana, laana itawafuata na hata milele

Njombaa unaiba Nazi zangu? Sasa chikia, ukishuka nchale, ukipanda nchale, ukiganda nchale, ukicheka nchale, ukinuna nchale, ukifumba macho nchale, ukifungua macho nchale, ukishika Nazi nchale, ukiachia Nazi nchale, ukipumua nchale, usipopumua nchale......
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 du, hapo hakuna usalama tena!
 
We mmakonde unajiita jina la kichina
hapo sasa; jina la kichina, avatar ya kichina, post matusi katika jambo la kirafiki na burudani tu. atakuwa ana matatizo katika ubongo huyu!
 
Nimetafuta wimbo wa "chilambo cha Vene" hadi nimechoka.....
Tatizo la nyimbo zilizorekodiwa na vituo vya televisheni ni ngumu kuziona youtube! Huu wimbo ndhani waliurekodia ITV, (naomba kusahihishwa)
 
Nimetafuta wimbo wa "chilambo cha Vene" hadi nimechoka.....
Tatizo la nyimbo zilizorekodiwa na vituo vya televisheni ni ngumu kuziona youtube! Huu wimbo ndhani waliurekodia ITV, (naomba kusahihishwa)
dah, mi pia yaani huo wimbo sijui nitaupata lini.....naupenda mno!!!
nafikiri uko sahihi, walirekodia huko!
 
Back
Top Bottom