Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

Hivi MWANAUME anasifiwaga kitu GANI? na MWANAUME anayejisifia UZURI WA SURA NI DALILI YA NN?mkuu sio siri nimekuona MWILI WANGU WOTE unatetemeka,,,NGOJA NIENDE kuoga na SIMU NITOE STRESS
 
Sawa we handsome lakin mwanaume kujisifia mambo kama haya aise wala sio vizur isitoshe mungu jinsi alivowaumba binadamu Hata uwe na Kichwa kama jiwe la kunolea visu yupo atakaekupenda2 kwahyo hongera kwa uzuri wako lakin sio kila mwanamke ataridhika na uzuri wako ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…