Dulla Same
Member
- Sep 22, 2018
- 40
- 13
- Thread starter
- #21
KwnnKwani fesibuku umefukuzwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwnnKwani fesibuku umefukuzwa?
PoapoaAcha hasira dogo.
Kuna thread unaomba support kinyoonge kama hustler na hapa unaonyesha really who you are.
Punguza ukali wa maneno mate
Higbjnvbbj
Ahsante MTU mzima mwenzangu kwakumuweka sawa kijana.Ame paniki wakati wameleta upuuzi jukwaani.Acha hasira dogo.
Kuna thread unaomba support kinyoonge kama hustler na hapa unaonyesha really who you are.
Punguza ukali wa maneno mate
Kijana anazani wanawake wa humu wanataka sura, wao wanataka useme unabishara zipi, au kazi wakuvamie PMUnamtaka demu gani hapa JF?
Yaaah mate..... Anapanic mapema mno. This is JFAhsante MTU mzima mwenzangu kwakumuweka sawa kijana.Ame paniki wakati wameleta upuuzi jukwaani.
Umemuona mmakonde mwenzioHata Jiwe ni handsome
HahahahahaaaaaaUmemuona mmakonde mwenzio
BazokaHahahaa kwa hiyo hujaridhika na uhandsome wake
KARIBU JF MKUUHigbjnvbbj
Nimekupenda bure si kwa uzuri huo..Nakubar najichubua ikiwa we ndo unanileteaga vipodozi