Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

karibu sana jf, najua ulikotoka umefukuzwa.
 
Daaah! Ila mnaamini kwenye vitaulo sana. Hilo halipingiki mkuu, japo pia huku hatuosheani na vipicha kama insta na FB. Huku anonymous rule inakuwa applied isipokuwa kama unataka kuwa verified user[emoji23][emoji23]
Na ukiwa verified si maana ya kuwa utakuwa unatuwekea vijuso ili wanaume wenzio tukuthaminishe. Haijakaa kiumeni.
Ndugu zenu vipi hawa cute b [emoji16]
 
Ma mende kweli wamepungua jf,zamani ingekua wanakugombania PM huku dau likiongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…