Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

Woyoooooo
Kumbe muhenga insta babe nikajua mambo ya six pack tena
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nna tumbo flat tu mazoezi ya kutafuta six pack tulishaachaga baada ya kujua vinavyohitajika uraiani ni zaidi ya six packs πŸ˜‚πŸ˜‚

tumebaki na mazoezi ya afya na kuuweka mwili sawa maana sisi wengine kuswim ni moja ya starehe zetu sasa ukiwa na mwili wa kilemutuz itakuwa vituko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani ulivyoongea mambo ya kuswimm umenikumbusha mm ni muoga na maji hahhahahha nikifika swimming naingiza miguu tu naanza kuchezea maji

Kwahiyo vinavyotafutwa zaidi ya six pack eeenh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] six pack kalinde club uko watu wanataka mahela
 

mahela ndio kila kitu insta babe πŸ˜‚πŸ˜‚

alafu sio ww peke ako girls wengi sana hawajui kuogelea πŸ˜‚

huwa nacheka sana unamkuta msichana kaja swimin point analipa anaenda change room anatoka kavaa kapendeza kama muogeleaji wa olimpic πŸ˜† na maumbo yenu watanzania sasa mashalah

unasema huyu dada atakuwa fundi kweli shughuli akija kwenyw swimin sasa anakaa pemben anadumbukiza vimiguu tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe tupo wengi yaani mm nachezea naingia kabisa sasa niambie niswimm hahhaha
 
Daaah wamenizidi hadi mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe tupo wengi yaani mm nachezea naingia kabisa sasa niambie niswimm hahhaha

hahahah... kama unapenda kuswim insta jifunze wiki tu unajua.... au unaogopa maji πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani insta babe ajue kabisa hiyo siku anasimamisha kila kitu ni kumfundisha shunie tu mpaka ajue kuswimm mana itakuwa kazi sana yaani nawaza tu nilivyo muoga yaan
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi insta babe itabidi uanze kujifunza na vile viboya vya kuvaa mabegan hadi ukizoea kuelea ndio uvivue πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…