Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

Woyoooooo
Kumbe muhenga insta babe nikajua mambo ya six pack tena
😂😂😂😂 nna tumbo flat tu mazoezi ya kutafuta six pack tulishaachaga baada ya kujua vinavyohitajika uraiani ni zaidi ya six packs 😂😂

tumebaki na mazoezi ya afya na kuuweka mwili sawa maana sisi wengine kuswim ni moja ya starehe zetu sasa ukiwa na mwili wa kilemutuz itakuwa vituko 😂😂😂
 
Jamani ulivyoongea mambo ya kuswimm umenikumbusha mm ni muoga na maji hahhahahha nikifika swimming naingiza miguu tu naanza kuchezea maji

Kwahiyo vinavyotafutwa zaidi ya six pack eeenh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] six pack kalinde club uko watu wanataka mahela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna tumbo flat tu mazoezi ya kutafuta six pack tulishaachaga baada ya kujua vinavyohitajika uraiani ni zaidi ya six packs [emoji23][emoji23]

tumebaki na mazoezi ya afya na kuuweka mwili sawa maana sisi wengine kuswim ni moja ya starehe zetu sasa ukiwa na mwili wa kilemutuz itakuwa vituko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani ulivyoongea mambo ya kuswimm umenikumbusha mm ni muoga na maji hahhahahha nikifika swimming naingiza miguu tu naanza kuchezea maji

Kwahiyo vinavyotafutwa zaidi ya six pack eeenh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] six pack kalinde club uko watu wanataka mahela

mahela ndio kila kitu insta babe 😂😂

alafu sio ww peke ako girls wengi sana hawajui kuogelea 😂

huwa nacheka sana unamkuta msichana kaja swimin point analipa anaenda change room anatoka kavaa kapendeza kama muogeleaji wa olimpic 😆 na maumbo yenu watanzania sasa mashalah

unasema huyu dada atakuwa fundi kweli shughuli akija kwenyw swimin sasa anakaa pemben anadumbukiza vimiguu tu 😂😂😂
 
mahela ndio kila kitu insta babe [emoji23][emoji23]

alafu sio ww peke ako girls wengi sana hawajui kuogelea [emoji23]

huwa nacheka sana unamkuta msichana kaja swimin point analipa anaenda change room anatoka kavaa kapendeza kama muogeleaji wa olimpic [emoji38] na maumbo yenu watanzania sasa mashalah

unasema huyu dada atakuwa fundi kweli shughuli akija kwenyw swimin sasa anakaa pemben anadumbukiza vimiguu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe tupo wengi yaani mm nachezea naingia kabisa sasa niambie niswimm hahhaha
 
Daaah! Ila mnaamini kwenye vitaulo sana. Hilo halipingiki mkuu, japo pia huku hatuosheani na vipicha kama insta na FB. Huku anonymous rule inakuwa applied isipokuwa kama unataka kuwa verified user[emoji23][emoji23]
Na ukiwa verified si maana ya kuwa utakuwa unatuwekea vijuso ili wanaume wenzio tukuthaminishe. Haijakaa kiumeni.
Ndugu zenu vipi hawa cute b [emoji16]
Daaah wamenizidi hadi mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe tupo wengi yaani mm nachezea naingia kabisa sasa niambie niswimm hahhaha

hahahah... kama unapenda kuswim insta jifunze wiki tu unajua.... au unaogopa maji 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani insta babe ajue kabisa hiyo siku anasimamisha kila kitu ni kumfundisha shunie tu mpaka ajue kuswimm mana itakuwa kazi sana yaani nawaza tu nilivyo muoga yaan
😂😂😂😂😂 basi insta babe itabidi uanze kujifunza na vile viboya vya kuvaa mabegan hadi ukizoea kuelea ndio uvivue 😂
 
Back
Top Bottom