Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

Mods mnalala sana .
Huyu kilaza anatukana tukana huku haonekani hukO kwenye server zenu .?
Kijana jitahidi kuwa mstaarabu huku sio Facebook asee.
 
Yani kuona tu utumbo wangu nikaenda kuangalia post zko na umejiunga lini da nadhani now jf waweke kipengele cha IQ na umri watu wasijemchukulia ky jelly bure
 
Insta babe na mm nakusaidia kuona aibu usione peke yako
daaah insta babe acha tu sijui hawa vijana wenzetu wamekumbwa na nini....

na hapo insta babe umechelewa kuiona hii post amefuta maneno aliyokuwa ameandika baada ya kuona watu wanampa vipande vyake..

ungeyaona na maneno ndio ungeona aibu zaidi 😂
 
Labda hana hatia, nasemea tuu...
20180926_142257.jpg
 
daaah insta babe acha tu sijui hawa vijana wenzetu wamekumbwa na nini....

na hapo insta babe umechelewa kuiona hii post amefuta maneno aliyokuwa ameandika baada ya kuona watu wanampa vipande vyake..

ungeyaona na maneno ndio ungeona aibu zaidi [emoji23]
Eenh kumbe alijiremba sana hiyo avatar inanitisha insta babe kwanza nilikusahau
 
Back
Top Bottom