Wamakua na mila za bibi haruri kupita juu ya wakwe

hii imetulia sana , acha amsigine mama mkwe c unajua lzm akiingia ndani atamtenda bibie kwa sana
 
hii ni mila tu na ina maana kwa kabila husiku na wala sio kitu cha kubeza maana kila kabila lina mila zake na kama watz inabidi tujivunie tamaduni na mila zetu kuutukuza utanzania maana watu mmezoea kuiga vya wazungu wakati kumbe kuna mila zetu nzuri tu za kupendeza

mbona Etoo alipoenda kijijini kwao alitandikiwa vitenge njia nzima kwenye barabara aliyowajengea ili akipita aone walivyofurahi kujengewa barabara hiyo, ni mila tu na tuzikubali na kuzifurahia

asiyekubali cha kwao ni mtumwa (tena wa fikra kabisa)
 
hayo ni mambo ya kishetani tu, shetani siku zote ni mtesaji, mharibifu na mara zote hufanya mambo yaonekane ya kawaida tu maana akija waziwazi ni nani atakaye mkubalia??????????? Yote haya ni hayo hayo ya ukeketaji - (wewe unayesoma) umesoma, unajua ktk Biology kila kiungo kina umuhimu wake vipi umpe kilema mwenzio pasipo ridhaa yake????!!!!!Ati asiwe na hamu na wanaume, mbona hao wenye mila hiyo malaya wakubwa!!!! maana hata ktk tendo la ndoa hawafikii kilele mara nyingi sababu sensetive genital parts zimeondolewa, ni ufinyu wa kifikra tu , Angalia mila hizo zinakotumika utaona hata ktk mambo mengine kuna ukandamizaji mkubwa kwa wanawake. Nani mjini hapa ambaye angemtaka mwanamke aliyekeketwa kama angelijua kabla ya kumuoa??????????!!!!!
 
ebufikiria wakati wa uchumba mamkwe alikuwa akuimaind alafu siku ya siku unaambiwa umkanyage yani sipati picha lazima hii mila utaifuraia hyo siku mana utakandamiza kizenchi mpaka aipate fresh
 
umeiweka sipo..lol:rolleyez:
 
ebufikiria wakati wa uchumba mamkwe alikuwa akuimaind alafu siku ya siku unaambiwa umkanyage yani sipati picha lazima hii mila utaifuraia hyo siku mana utakandamiza kizenchi mpaka aipate fresh

sipati picha.lol
 
Wamakua are smart people, they know that after wedding, bibi harusi atateseka mikononi mwa wakwe, so the wedding day is her day arouse in-laws rage ya kumkandamiza vizuri akishaingia ndani....aisee waliona mbali hawa wenzetu ===lol
 
sipati picha.lol
Hii mila ni nzuri sana,ninavyoambiwa na hawa wenyenyewe wanaolala chini ni akina shangazi ,mawifi na wengine mama mkwe nadra sana kuwa ktk msafara anakuwa high table na hawa watu wana mila za heshima sana hawezi kumkanyanyaga mama mkwe wake na lengo hapo ni kumwonyesha bibi harusi anakubaliwa na kupokelewa na upande wa pili hasa mawifi na shangazi aone anapokelewa kama malkia ili akiingia awatendee kwa ukarimu kama walivyompokea kwa kukubali kumbeba juu yao.Nilishashuhudia ndoa huko kijijini hawakutumia gari,walitengeneza macela ta vit vya kulala vya kizamani wakapamba vizuri,maharusi wakabebwa na watu kwa kupokezana toka church mpaka ukumbini;it was verry colourfull
 
ungetuwekea mapicha ndio ingenoga banaa...
 
Well said Jerome kama ulikuwepo hiyo ni mila tu ambayo mashangazi na mawifi wanalala chini na kuacha bibi harusi apite juu ya migoongo yao kama kapeti hivi na ni mila tu ya kumuenzi bibi harusi, ni sawa na Masiha alipewa mwana punda na kutandikiwa matawi ya mitende ili apite juu sema sisi wamakua tunatumia mashangazi na mawifi kumkaribisha mke mimi mwenyewe niliifanya hiyo kwenye my harusi yangu
 
hayo ni mambo ya kishetani tu, shetani siku zote ni mtesaji, mharibifu na mara zote hufanya mambo yaonekane ya kawaida tu maana akija waziwazi ni nani atakaye mkubalia??????????? Yote haya ni hayo hayo ya ukeketaji - (wewe unayesoma) umesoma, unajua ktk Biology kila kiungo kina umuhimu wake vipi umpe kilema mwenzio pasipo ridhaa yake????!!!!!Ati asiwe na hamu na wanaume, mbona hao wenye mila hiyo malaya wakubwa!!!! maana hata ktk tendo la ndoa hawafikii kilele mara nyingi sababu sensetive genital parts zimeondolewa, ni ufinyu wa kifikra tu , Angalia mila hizo zinakotumika utaona hata ktk mambo mengine kuna ukandamizaji mkubwa kwa wanawake. Nani mjini hapa ambaye angemtaka mwanamke aliyekeketwa kama angelijua kabla ya kumuoa??????????!!!!!

huna maana wewe unayekataa mila za kitanzania hamna ushetani wowote hapo wewe unashangaa mtu kutembea juu ya watu tena waliolala kwa hiyari yao mbona kuna watu wanakunjwa vitandani na kulala na kilo zaidi ya 90 na huoni kama huo ni ushetani, poor mind
 
ingenoga kama angemkanyaga wakati kalale chali
 
Bibi harusi akiwa na kilo zake 90+ na anayekanyagwa akiwa na kilo 50 kunaweza kuwa na madhara ya kiafya.
 
Mbona wanaume hawalali wakakanyangwa inaubanguzi wa njisia na inawazalalisha wanawake
 
hayo ni mambo ya kishetani tu, shetani siku zote ni mtesaji, mharibifu na mara zote hufanya mambo yaonekane ya kawaida tu maana akija waziwazi ni nani atakaye mkubalia??????????? Yote haya ni hayo hayo ya ukeketaji - (wewe unayesoma) umesoma, unajua ktk Biology kila kiungo kina umuhimu wake vipi umpe kilema mwenzio pasipo ridhaa yake????!!!!!Ati asiwe na hamu na wanaume, mbona hao wenye mila hiyo malaya wakubwa!!!! maana hata ktk tendo la ndoa hawafikii kilele mara nyingi sababu sensetive genital parts zimeondolewa, ni ufinyu wa kifikra tu , Angalia mila hizo zinakotumika utaona hata ktk mambo mengine kuna ukandamizaji mkubwa kwa wanawake. Nani mjini hapa ambaye angemtaka mwanamke aliyekeketwa kama angelijua kabla ya kumuoa??????????!!!!!

Aisee mbona hueleweki, unaongelea kp? Dah!...jioni sasa hv watu naona mmesharamba za kutosha!
 
hayo ni mambo ya kishetani tu, shetani siku zote ni mtesaji, mharibifu na mara zote hufanya mambo yaonekane ya kawaida tu maana akija waziwazi ni nani atakaye mkubalia??????????? Yote haya ni hayo hayo ya ukeketaji - (wewe unayesoma) umesoma, unajua ktk Biology kila kiungo kina umuhimu wake vipi umpe kilema mwenzio pasipo ridhaa yake????!!!!!Ati asiwe na hamu na wanaume, mbona hao wenye mila hiyo malaya wakubwa!!!! maana hata ktk tendo la ndoa hawafikii kilele mara nyingi sababu sensetive genital parts zimeondolewa, ni ufinyu wa kifikra tu , Angalia mila hizo zinakotumika utaona hata ktk mambo mengine kuna ukandamizaji mkubwa kwa wanawake. Nani mjini hapa ambaye angemtaka mwanamke aliyekeketwa kama angelijua kabla ya kumuoa??????????!!!!!

Wewe ni wale waliotekwa na fikra kwamba vizuri ni vya wazungu tu, nadhani wewe unaunga mkono hata mambo ya ushoga na usagaji wanaoueneza wazungu
 
ingekuwa kukanyaga wanaume,ni poa zaidi
 
Back
Top Bottom