Wamalaba ni nani?

Wamalaba ni nani?

abguy

New Member
Joined
Dec 19, 2020
Posts
3
Reaction score
3
Wanakaba ni jamii ya wamakonde ambao wanaishi kandokando na bahari ya Hindi wakiwa na utofauti kidogo wa lugha na wamakonde wa bara kwani wao maneno mengi uchanganya na maneno ya kiswahili &kiarabu kutokana na muingiliano na wageni toka nje ya Afrika mashariki.

Wamakaba wanapatikana sana maeneo ya Mikindani,Libobe, msijute nk. Pia wapo Kaskazini mwa nchi ya Msumbiji rafudhi yao inafanana na kabila la Wamwani(Wapwani) kabila hili lipo Kaskazini Mashariki mwa Msumbiji.
 
Swali na jibu hapo hapo,baa,kwani chani somo?
 
unalivate pano! achidachi.
wamaraba ni kweli asil yao kibantu ambao ndio wamakonde.baada ya kuingia na kuja kuishi katika sehem za juu ya konde,kukimbia wadudu na m hali ya hewa ndio makonde plateau, maneno mfano lelo,leo
 
Back
Top Bottom