Wanakaba ni jamii ya wamakonde ambao wanaishi kandokando na bahari ya Hindi wakiwa na utofauti kidogo wa lugha na wamakonde wa bara kwani wao maneno mengi uchanganya na maneno ya kiswahili &kiarabu kutokana na muingiliano na wageni toka nje ya Afrika mashariki.
Wamakaba wanapatikana sana maeneo ya Mikindani,Libobe, msijute nk. Pia wapo Kaskazini mwa nchi ya Msumbiji rafudhi yao inafanana na kabila la Wamwani(Wapwani) kabila hili lipo Kaskazini Mashariki mwa Msumbiji.