Alafu baadae....wanawaita single mother...Je nyie wa baba mnaotembea na vibinti vidogo havina hata mziwa mnawapa magonjwa na mimba zisizoeleweka
EtiAlafu baadae....wanawaita single mother...
Na kusema wasiolewe
wore = wote😂😂😂Jifunze kuandika vizuri, isiwe Kama wore tuko hapo bar
👉Fipo = fimbo
Acha kuzingua wewe, kasome vizuri😃🤣wore = wote😂😂😂
Nyani haoni....
Kijana wa hovyo 😄Kama vijana wenyewe tumeridhia, shida Iko wapi mkuu?
Huyu ni wewe mkuu unayesema wala sio hao uliowataja hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Waswahili Wamasema "Asali nzuri niya nyuki wadogo" ..
Wajawazito wanasema " utamu wa embe liwe libichi"
Wazee wakina baba wanasema " raha ya jua liwe la saa sita "
"vijana wanajua kazi"Leo fimbo yangu inachapa moja kwa moja hawa wahusika wenye tabia hii chafu. Unakuta MJIMAMA miaka hata 50 unatembea na kijana wa miaka hata 25 bila hata aibu, ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi"[emoji23]. Sasa kama wanajua kazi si uwaache wakajenge taifa?
Unakuta MJIMAMA uko kabisa kwenye ndoa ila unamwacha MZEE MARUBADU wa watu anakunywa KAHAWA NA KASHATA [emoji1787]nyumbani wenyewe unapiga SUPU YA KONGORO kijiweni [emoji2960][emoji12] na Serengeti boy.
Nauliza, tutafika?
Mambo yao nawaachia wao, msemo wa Smart911Ni kweli mmeridhia ila huoni mnamdhalilisha mzee MARUBADU na wanae, imagine unakutana na kijana mmesoma nae au umempita vidato anapit na b mdash unajisikiaje
Samahani kadadaa, hivi kibinti cha miaka 12 kinatafunika kweli mbususu? Maake huyu mzee Lomolomo simuelewi hivi😥Je nyie wa baba mnaotembea na vibinti vidogo havina hata mziwa mnawapa magonjwa na mimba zisizoeleweka