Sio miaka mingi iliyopita yupo Shangaz moja ilitokea kufahamiana maana alikuwa jirani tu , sasa nilikuwa single kwa huo' muda maza Naye akawa ananishobokea , leo hukwenda kazini, Mara nilikuona Ila uko busy ...nikaona isiwe tabu ...siku mojà nikatania nipo home njoo nitembelee, akasema nitakuja jioni nikasema kweli ?
Kasema ndio nipe namba yako' nikampa, jioni simu Niko Mtaa wako nakuja, nikamwelekeza na alivyokuwa mashalla jeupe mmmmh nilishindwa na mkufu kama wa dhabu kiunoni Alivyo inama kimakusudi la ulah ..cjui yaliyo endelea
Ila nikiri tu nilipata tabu Sana kuachana Naye maana alivyokuwa ananiganda japo kwa siri. Alikuwa vizuri lakini umri dah! nilikuwa najuta moyoni.
Ni maombi tu yalitoa kwake japo alikuwa Anatuma sms. shiiiih ww, mtamu
,Nikasema Mungu wangu namwachaje huyu?
Ashukuruwe Mungu Nilipata sababu Tangibly kabisa🙌 Nikaachana naye.