Wamama kutembea na vijana ni uungwana?

Kuna mbunge mmoja kwenye awamu ya 4 alikuwa anaondoka na dogo mmoja mwenye 20s yoa sujui aliishia wapi
 
ukimwuliza eti "vijana wanajua kazi" .
.......and the vise versa is true,
hamuwapeleki moto hawa wamama, genye zinawazidia baadae zinageuka hasira zisizoisha, visirani chungu nzima, wanatupayukia ma-ofcn..... madogo nasisitiza pelekeni mioto zaidi!
 
Mimama mitamu sana na inajua kunyumbulika,nilikuwa na Limama flani hivi Huwa linaniambia tangulia Kwa mbele naona aibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii mbna mabwakuuu.
 
Kwani sisi vijana tumelalamika? Tuache na hao wamama ndo size yetu
 
.......and the vise versa is true,
hamuwapeleki moto hawa wamama, genye zinawazidia baadae zinageuka hasira zisizoisha, visirani chungu nzima, wanatupayukia ma-ofcn..... madogo nasisitiza pelekeni mioto zaidi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…