Wamama wa CCM wamekengeuka! Kwani posa ikiwa na mtungi wa gesi ndio akiolewa atakuwa anajaza gas bure?

Wamama wa CCM wamekengeuka! Kwani posa ikiwa na mtungi wa gesi ndio akiolewa atakuwa anajaza gas bure?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Pesa ya kujazia mitungi ya gas tabu.

Kupata chakula tu ni tabu.

Leo hii mnakomalia mitungi ya gaz
20221103_175007.jpg
 
Mbona wapare na wachaga wanafanya hivo muda mrefu kwenye posa zao hapo hakuna la ajabu
 
Back
Top Bottom