M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Nov 3, 2022 #1 Pesa ya kujazia mitungi ya gas tabu. Kupata chakula tu ni tabu. Leo hii mnakomalia mitungi ya gaz
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,843 Reaction score 35,442 Nov 3, 2022 #2 Mbona wapare na wachaga wanafanya hivo muda mrefu kwenye posa zao hapo hakuna la ajabu