Wamama wa Dar mtawaua Wanaume wa mikoani kwa presha

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na huyo mwanamama akafika mpaka lodge alipofikia akiwa na bodaboda, akaingia ndani aliko mja wake, baada ya kama dakika mbili akatoka na zile zawadi akapanda bodaboda aliyekuja naye na kuondoka faster.

Muda kidogo jamaa anatoka anauliza huyo mama yuko wapi, tunamwambia amepanda bodaboda ameondoka, anabaki anashangaa, anasema huyo rafiki yake wa kike amefika chumbani akamwambia anaomba nauli amlipe bodaboda pamoja na zawadi ili bodaboda ampelekee nyumbani kwake kuepuka usumbufu kwenye daladala baadaye, amepewa, alivyotoka amezima simu hapatikani ametoweka.

Kila siku mbinu mpya za kuwaliza wanaume wajao toka bara. Wanaume wenzangu tuweni makini na viumbe hawa ipo siku watawaua, wanawake wa jiji walishatokwa na utu, hali siyo hali.
 
Pengine ilikuwa what i want vs what i receive πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Ila hajafanya vizuri
Watu wamepinda mkuu, hapo anaweza kutapeli hata kumi kwa siku
 
Hakuna mkoa Tanzania wenye mbususu za bei rahisi na hazina usumbufu kama Dar, ukiliwa umetaka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…