Dodoma hiyo ,iko barabarani kilomita Kama 60 au 70 toka Dom town Kama unaenda moroIko wapi hiyo kiongozi
Huyo Bidada mshamba tu, unauzaje Bidhaa halafu unataka ubaki nayo?Pengine ilikuwa what i want vs what i receive ππππ
Ila hajafanya vizuri
Demu wa Dar hapewagi zawadi ya maua labda kijora na atakutunuku kiduara mbanoππ
Jamaa ametia huruma sana, ila wengine ikabidi tumfariji tu
ππππWatu wamepinda mkuu, hapo unaweza kuina anatapeli hata kumi kwa siku
Gairo kwa mbele, wanachoma sana nyama hapo Mbande...Iko wapi hiyo kiongozi
Mbande ni Mbagala njia ya mvutiKule KISEWE me sihesabiag kama ni daslama, aisee acha kabisa aloo acha kabisaaa kuna hadi vilima mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si mbele ya chamaz komplex ndio kisewe mkuuMbande ni Mbagala njia ya mvuti
πππππππHuyo Bidada mshamba tu, unauzaje Bidhaa halafu unataka ubaki nayo?
Ukiuza uza, iwe hivyo!
[emoji28] [emoji28] iko Chamazi, kwa mbele, karib na Pwani kabisa
ooh sikujua hiiKuna ya Kilwa mkoani Lindi pia.
Hata hakuwahi kuona movie ya BONGO DAR ES SALAAM miaka ya nyuma huko[emoji3][emoji3][emoji38][emoji28]
Jamaa ametia huruma sana, ila wengine ikabidi tumfariji tu
Ukiona hivyo ARV inahusika.Kitu inapata upepo wa bahari