Baadhi ya wanawake wajawazito hutokewa na hali ya kubalika kwa tastebuds na kupata condition inayoitwa kitaalamu Dysgeusia.
Uzuri ni kuwa hali hii huisha anapojifungua na huwa haina madhara yoyote.
Kubadilika kwa tastebuds ndio kunamfanya asipate ladha ile ya kawaida aliyoizoea na ndio maana utaweza kuona wakila vitu vichachu vichachu ambavyo wewe ambae sio mjamzito itakuhitaji uvumilivu wa hali ya juu kuvila.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.