Wamama wajawazito.

Wamama wajawazito.

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
541
Kwanini wamama wajawazito hupenda sana kutumia pilipili nyingi, je hazina madhara kwao na kwa viumbe walioko tumboni......!?
 
Sidhan kama zina madhara yoyote.

Nimeshakua shuhuda wa hili. Pia mimba zinae wenge sana. Wengine hula mkaa na udongo , wengije hushinda kula mabarafu.

Mimi sio Doc. Ngoja tuwasubiri wataalamu wa afya tujifunze zaidi
 
Baadhi ya wanawake wajawazito hutokewa na hali ya kubalika kwa tastebuds na kupata condition inayoitwa kitaalamu Dysgeusia.

Uzuri ni kuwa hali hii huisha anapojifungua na huwa haina madhara yoyote.

Kubadilika kwa tastebuds ndio kunamfanya asipate ladha ile ya kawaida aliyoizoea na ndio maana utaweza kuona wakila vitu vichachu vichachu ambavyo wewe ambae sio mjamzito itakuhitaji uvumilivu wa hali ya juu kuvila.

Machache niyajuayo ni hayo.
 
Back
Top Bottom