wamama wengine bhana!!

Eminem jr

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2018
Posts
2,003
Reaction score
4,584
Mdada umekaa zako kibarazani na mama yako
Mara anapitia boyfriend wako barabarani halafu
unasikia mama anasema "halafu Huyu kijana
ana sura mbaya Kama sugu za magoti ya
tembo "πŸ˜€
 
da inabidi uwe mople maana unaibia hajulikani unaumia kimoyomoyo tu
 
Hiyo no dalili ama ishara ya mama kupenda viben10...tehteehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…