A
Anonymous
Guest
Katika Kijiji cha Namikango, Wilaya ya Nachingwea, wananchi, hususan wakulima, tunalalamikia kuvamiwa kwa mashamba yetu na wafugaji (Wamang'ati) wanaoingiza na kulisha mifugo katika mashamba yetu
Tunaomba Serikali iingilie kati na kutatua changamoto hii ili kuzuia madhara makubwa zaidi na kudumisha amani na utulivu katika jamii.
Tunaomba Serikali iingilie kati na kutatua changamoto hii ili kuzuia madhara makubwa zaidi na kudumisha amani na utulivu katika jamii.