A
Nachingwea mbambadu moia hamia kiegei ukahangaike na temboKatika Kijiji cha Namikango, Wilaya ya Nachingwea, wananchi, hususan wakulima, tunalalamikia kuvamiwa kwa mashamba yetu na wafugaji (Wamang'ati) wanaoingiza na kulisha mifugo katika mashamba yetu
Tunaomba Serikali iingilie kati na kutatua changamoto hii ili kuzuia madhara makubwa zaidi na kudumisha amani na utulivu katika jamii.
Kabisa, mifugo ni sehemu muhimu sana ya uchumi wa watanzania wengi sana.Mnawachukia wafugaji ila mkifika mgahawani mnaagiza supu na nyama nyingi.
Tulieni oneni namna bora ya kuishi nao kila mtu afaidike na ardhi.
Issue sio Kwanba tunawachukia ila ufugaji una utaratibu wake unalisha Kwenye shamba la mtu halafu unategemea mtu akae kimya?Kabisa, mifugo ni sehemu muhimu sana ya uchumi wa watanzania wengi sana.
Mbona mikoa ya Mbeya, katavi, Rukwa, Dodoma, Iringa,Pwani na Kigoma inaishi vizuri tu na wakulima ?
Hizo jamii zenu mmezaliwaje,inawezekana vipi mgeni anakuja na kuwafanyia vurugu na nyie mumekaaa kama kondoo.
Mbona huku kwetu Mara hao wamasai,wasukuma au wamangati hawaji-wanajua kabisa tutawachinja.
Yani kwa nini uonewe na upo kwako.