Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Afu mkuu mbona unapenda sana kuwataja mashoga?????? Comment zako nyingi ukipishana hoja na watu unawaita mashoga.Hiyo ndio defense mechanism yako katika kutetea hoja mkuu??Mi sio fan wa hao washenzi
Madogo wangekua wanakaa marekani afu wakaenda kukaa urusi.Ndio wangejua tofauti ya marekani na urusi,nadhani wanapelekeshwa na mihemuko ya kisiasa na kishabiki na kidini mkuu.Bora mtu akose pesa kuliko kukosa akili za kuwaza kwa utimamu.
Sio USA tu hata wababe wengine wa dunia kama RUSSIA CHINA,FRANCE,UK wanapenda vurugu wauze silaha.Angalia nchi nyingi duniani zinanunua silaha kutoka mataifa haya saba.Ambayo ni USA,CHINA,RUSSIA,FRANCE,GERMANY,ISRAEL na UKUnawezaje kudhamini Vita ambayo haikuhusu ,unamaslahi gani nayo!!!?? USA wanaivuruga Sana hii dunia ,to be honest!! Hii tabia ya US kumgombanisha watu haitakoma labda viwanda vyao vya silaha vife ,la sivyo wakimaliza Ukraine ,watatafuta na pengine Tena !!
Mm nina wasiwasi na wadau ambao wakishindwa hoja wanaishia kuwatukana watu mashoga.Nina wasiwasi na kiwango chao cha elimuHata wewe?
Kama uhuru upo wa kuongea chochote Kwa nini Snowden yupo Russia? Kwa nini mmiliki wa WikiLeaks akapewa kesi ya kubambikwa?Marekani huwez ifananisha ni nchi yyte kule uhuru ni mkubwa sana, hata ww bwana wako akikunyima unyumba unaruhusiwa kuandamana na polisi watakusindikiza kwa Usalama zaid ila Urusi hayo mambo ya maandamano huwez sikia maana hakuna uhuru ni mbinyo kwenda mbele ww unafikir hao raia wa Urusi wanaofariki huko Ukraine Frontline ndugu zao hawaumii? Wanaumia sana tu lakin hawana jinsi maana Putin akiamua hakuna wa kumpinga so hamuwez kuandamana Wala kupaza sauti zenu popote.
Duniani hakuna uhuru wa kuongea usiokua na mipaka popote pale.Labda useme viwango vya uhuru wa kuishi na kuongea vinazidiana.Mfano mdogo ni uhuru wa kuongea hapa tanzania ni tofauti na rwanda.Duniani hakuna uhuru wa kuongea usiokua na mipaka katika sehemu husikaKama uhuru upo wa kuongea chochote Kwa nini Snowden yupo Russia? Kwa nini mmiliki wa WikiLeaks akapewa kesi ya kubambikwa?
Ila marekani uhuru wa kuongea ni mkubwa sana.Ukiishi china au rwanda utaelewa hili.Upo sahii mkuuMarekani huwez ifananisha ni nchi yyte kule uhuru ni mkubwa sana, hata ww bwana wako akikunyima unyumba unaruhusiwa kuandamana na polisi watakusindikiza kwa Usalama zaid ila Urusi hayo mambo ya maandamano huwez sikia maana hakuna uhuru ni mbinyo kwenda mbele ww unafikir hao raia wa Urusi wanaofariki huko Ukraine Frontline ndugu zao hawaumii? Wanaumia sana tu lakin hawana jinsi maana Putin akiamua hakuna wa kumpinga so hamuwez kuandamana Wala kupaza sauti zenu popote.
Uhuru wa kuongea wa bandia.Duniani hakuna uhuru wa kuongea usiokua na mipaka popote pale.Labda useme viwango vya uhuru wa kuishi na kuongea vinazidiana.Mfano mdogo ni uhuru wa kuongea hapa tanzania ni tofauti na rwanda.Duniani hakuna uhuru wa kuongea usiokua na mipaka katika sehemu husika
Hatuwezi kuita uhuru bandia moja kwa moja bali uhuru wenye mipaka.Ndio ilivyo duniani koteUhuru wa kuongea wa bandia.
Marekani haifikii Norway na Finland kwenye freedom of speech, scandavia wapo vizuri, waanzilishi wa piratebay wanatokea Sweden, jamaa walianzisha kitu kinaitwa anti copyright organization, kwenye kesi wakashinda na Kila siku watu wanaweka filamu huko.Ila marekani uhuru wa kuongea ni mkubwa sana.Ukiishi china au rwanda utaelewa hili.Upo sahii mkuu
Ajenda ya kumpinga dikteta Putin juu ya uvamizi Ukraine si ya Marekani peke yake bali ni nchi zote Ulaya na Nato ata kule ufaransa pia wameandamana lakini wazungu hawaangalii hicho wanachodai waandamanaji zaidi wanaangalia kuifanya West kubaki kuendelea dola yenye nguvu zaidi duniani.Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi.
Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu mbaya kama anavyochafuliwa na US+NATO. "Putin ni rais mzalendo wa nchi yake, tunawahitaji kina Putin wengi zaidi, Marekani pia yawahitaji kina Putin wengi". Waliongea waandamanaji hao.
Waandamanaji hao pia wamelaani serikali ya Marekani kufuja pesa za walipa kodi wa nchi hiyo (USA) kwa kudhamini vita ya Ukraine wakati walipakodi hao hawanufaiki kwa chochote na vita hivyo zaidi ya kuteseka na kupanda kwa gharama za wese na maisha kwa ujumla.
======
View attachment 2525781
View attachment 2525782
View attachment 2525783View attachment 2525785
View attachment 2525786
Upo sahii mkuu Scandinavian zone wapo juu kwa demokrasia,lakini pia huwezi kufananisha uhuru wa kuongea wa marekani na nchi kama urusi au china au saudi arabia au iran au tanzania.Katika kumi bora huwezi kuiacha marekani.Marekani haifikii Norway na Finland kwenye freedom of speech, scandavia wapo vizuri, waanzilishi wa piratebay wanatokea Sweden, jamaa walianzisha kitu kinaitwa anti copyright organization, kwenye kesi wakashinda na Kila siku watu wanaweka filamu huko.
PUT IN aombewe aishi sana ili azidi kuua MAGAIDI pale UKRAINEAjenda ya kumpinga dikteta Putin juu ya uvamizi Ukraine si ya Marekani peke yake bali ni nchi zote Ulaya na Nato ata kule ufaransa pia wameandamana lakini wazungu hawaangalii hicho wanachodai waandamanaji zaidi wanaangalia kuifanya West kubaki kuendelea dola yenye nguvu zaidi duniani.
Hata mimi mkuu namuombea sana azidi kuua magaidi kule Syria na kule Mali na kule Burknafaso na kule Central africa kupitia lile kundi lake takatifu"Wagner"".Upo sahii mkuu""Inshaalah""Allah amfanyie wepesi azidi kuua magaidi(NATO na wamagharibi)PUT IN aombewe aishi sana ili azidi kuua MAGAIDI pale UKRAINE
Marekani ndio wapo vizuri kwenye freedom of speech mkuu, naamini freedom of speech inaleta uzalendo, uzalendo na freedom of speech vinaenda sawa, nchi za Africa viongozi ndio walambaji asali, kuogopa kukosolewa, ukileta uhuru huo Kuna vyama vya miungu watu lazima vitoke.Upo sahii mkuu Scandinavian zone wapo juu kwa demokrasia,lakini pia huwezi kufananisha uhuru wa kuongea wa marekani na nchi kama urusi au china au saudi arabia au iran au tanzania.Katika kumi bora huwezi kuiacha marekani.
Umeongea point mkuu.Ungekua karibu ningekupa ofa ya kitimotoMarekani ndio wapo vizuri kwenye freedom of speech mkuu, naamini freedom of speech inaleta uzalendo, uzalendo na freedom of speech vinaenda sawa, nchi za Africa viongozi ndio walambaji asali, kuogopa kukosolewa, ukileta uhuru huo Kuna vyama vya miungu watu lazima vitoke.
Kwa nini majiko ya kitimoto yanawekwa nje ya Bar?Umeongea point mkuu.Ungekua karibu ningekupa ofa ya kitimoto