joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Japo hii video ni ndefu, lakini ni vizuri sana Wakenya wakaisikiliza kwa makini sana, hasa dakika 30 za kwanza.
Kuanzia dakika ya 27, huyo mzungu anawashangaa Wakenya weusi walioomba Kuwepo kwa "Bill of right" maalumu ya kuwalinda wazungu baada ya Uhuru wa Kenya, Nyerere amepinga kitendo cha kuwapa wazungu "special treatment" wakiwa Africa.