Wamarekani walimuomba Nyerere awasaidie Wakenya waige utaratibu wa Tanganyika kuhusu kumiliki ardhi

Wamarekani walimuomba Nyerere awasaidie Wakenya waige utaratibu wa Tanganyika kuhusu kumiliki ardhi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Japo hii video ni ndefu, lakini ni vizuri sana Wakenya wakaisikiliza kwa makini sana, hasa dakika 30 za kwanza.

Kuanzia dakika ya 27, huyo mzungu anawashangaa Wakenya weusi walioomba Kuwepo kwa "Bill of right" maalumu ya kuwalinda wazungu baada ya Uhuru wa Kenya, Nyerere amepinga kitendo cha kuwapa wazungu "special treatment" wakiwa Africa.
 
Sijapata mda wa kuisikiliza video hiyo. Lakini waKenya wanashida sana likija suala la kusimamia utu wao kama waAfrika. Hawajithamini kabisa. Wanajiona kama wapo kenya kwa bahati mbaya, ilipaswa wawepo wazungu tu na si wakenya weusi.
 
Wakenya wana matatizo ya msingi sana, hata kabla ya Uhuru wakenya hawajawahi kuwa pamoja, hata vita vya MAU MAU vilipigwana ktk misingi ya ukabila.
 
Back
Top Bottom