joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kuna jirani anaumia sana akisikia hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majirani sasa wameanza kuijua Tanzania, nguvu zimeanza kuwaishiaSafi sana, baadhi ya watz hasa wa kwenye mitandao hatuoni mema yanayofanywa na Magufuli, kwa video hii wajifunze kuona sasa
Kuna jirani anaumia sana akisikia hivi
Hahahaha, umesahahu yule Youtuber aliyesema Nairobi ni chafu sana na kuna vibaka kila kona na hakuna maji ya kutosha , au tukuwekee umsikilize?Sijawahi kuona Youtubers wakitembelea nchi halafu waanze kuiponda.
Mashabiki wa Jiwe mmekuwa matahira kabisa, mko very obsessed na kusifiwa.
Yaani hata hata ukisifiwa na watu milioni 50, ila mkikosolewa na mtu mmoja mnaugua kabisa
Safi sana, baadhi ya watz hasa wa kwenye mitandao hatuoni mema yanayofanywa na Magufuli, kwa video hii wajifunze kuona sasa
..tuitangaze Tz, badala ya kumtangaza Magufuli.
..vijana wa Tanzania mmeshupaa kumtangaza Magufuli, halafu Wakenya wanapiga pesa kwa kutangaza kilimanjaro na serengeti ziko Kenya.
cc MK254
Kwani wewe kwa sasa hujui ya kuwa Tanzania inafahamika zaidi duniani kwa ajili ya Magufuli.
Kuna YouTuber mmoja aliingia pale Kilimanjaro hotel akachukua chumba deluxe luxury ila alipoingia akacheka sana akawa anashangaa anasema mbona this is very basic?Oh well that's luxury in AfricaSijawahi kuona Youtubers wakitembelea nchi halafu waanze kuiponda.
Mashabiki wa Jiwe mmekuwa matahira kabisa, mko very obsessed na kusifiwa.
Yaani hata hata ukisifiwa na watu milioni 50, ila mkikosolewa na mtu mmoja mnaugua kabisa
Sawa ukalale sasa.....Sina MB za kachezea
..tunafahamika zaidi kutokana na vivutio vyetu.
..ila tunapoteza muda kumtangaza Magu badala ya kutangaza vivutio ili tupige pesa.
..hivi unadhani Wakenya wana muda wa kumlamba miguu Uhuru Kenyatta?
..tunafahamika zaidi kutokana na vivutio vyetu.
..ila tunapoteza muda kumtangaza Magu badala ya kutangaza vivutio ili tupige pesa.
..hivi unadhani Wakenya wana muda wa kumlamba miguu Uhuru Kenyatta?
..what do you gain kwa kuwaita Wakenya wafu?Binafsi sioni kama ni mantiki kujilinganisha na Kenya, wakati kuna akina Botswana, Namibia na sasa Angola wanafanya vizuri kwa ukimya, ustaarabu na uhakika. Hii mambo ya kujilinganisha na wafu kina kenya wala siko interested.
Nashindwa hata nisemeje, usipende kufananisha Tanzania na vitu vya hovyo. Ningekuwa upande wako iwapo ungesema tuige mifano mizuri kama Botswana, Namibia au hata Angola. Nchi ambazo zinafanya maendeleo endelevu, tena kwa utulivu mkubwa. Hizo issue za kina kenyatta hazitatusaidia.
..what do you gain kwa kuwaita Wakenya wafu?
..tatizo lako una CHUKI na Wakenya.
..chuki inawafanya muwe vipofu wa mafanikio ya jirani/ndugu zenu, na kupelekea kushindwa kujifunza na kujiongeza.
..projections za GDP ya Kenya ni usd 85 billion, Tanzania ni usd 55 billion.
..Do you really believe Tanzanians have nothing to learn frm Kenyans? And you even dare call the wafu!!
..Sikiliza ndugu yangu, Wakenya ni majirani zetu. Kenya ndio wateja wetu wakubwa wa bidhaa tunazozalisha. Kwasababu hizo tunatakiwa tuishi nao vizuri.
..Pia Wakenya wanayo ya kujifunza toka Tanzania. Vilevile Watanzania wanaweza kujifunza kutoka kwa Wakenya. Hakuna aliyekamilika. Sote tuna mambo mazuri na mabaya. Kwa hiyo tuchukue yale mazuri toka kwa wenzetu. Na wao wachukue yale mazuri toka kwetu.
..Busara ni vizuri kujifunza toka Kenya, pamoja na nchi ulizozitaja kwamba zinakuja juu, kama Botswana, Namibia, na Angola.
Aisee ipo video nyingine pia ya. mwaka jana ambayo demu mmoja Mmarekani mweusi alikua anamwambia demu vloger wa Kikenya kuwa kwa ktk EA Dar anaifananisha na New York.
Kuna jirani anaumia sana akisikia hivi
Kuna jirani anaumia sana akisikia hivi
Dar es Salaam, New York of East Africa," Endorsed "Stupid