..what do you gain kwa kuwaita Wakenya wafu?
..tatizo lako una CHUKI na Wakenya.
..chuki inawafanya muwe vipofu wa mafanikio ya jirani/ndugu zenu, na kupelekea kushindwa kujifunza na kujiongeza.
..projections za GDP ya Kenya ni usd 85 billion, Tanzania ni usd 55 billion.
..Do you really believe Tanzanians have nothing to learn frm Kenyans? And you even dare call the wafu!!
..Sikiliza ndugu yangu, Wakenya ni majirani zetu. Kenya ndio wateja wetu wakubwa wa bidhaa tunazozalisha. Kwasababu hizo tunatakiwa tuishi nao vizuri.
..Pia Wakenya wanayo ya kujifunza toka Tanzania. Vilevile Watanzania wanaweza kujifunza kutoka kwa Wakenya. Hakuna aliyekamilika. Sote tuna mambo mazuri na mabaya. Kwa hiyo tuchukue yale mazuri toka kwa wenzetu. Na wao wachukue yale mazuri toka kwetu.
..Busara ni vizuri kujifunza toka Kenya, pamoja na nchi ulizozitaja kwamba zinakuja juu, kama Botswana, Namibia, na Angola.