Wamarekani waliotembea East Africa wakubali DSM ni NY ya EA, wakubali Magufuli ni shujaa

..tunafahamika zaidi kutokana na vivutio vyetu.

..ila tunapoteza muda kumtangaza Magu badala ya kutangaza vivutio ili tupige pesa.

..hivi unadhani Wakenya wana muda wa kumlamba miguu Uhuru Kenyatta?
Ama kweli ujinga hauuwi lkn unatesa sana,, ww daaa!! Jitathmini mwamba, unatia aibu
 
Yaani ww akili zako ni kama parachichi,, huelewi nini sasa mbona unakaza,, huu ni mgogoro wa kisera zenye mtazamo wa kisiasa sasa na ww unakomaa kutoa mawazo yenye lengo la kutia chuki kati ya wananchi wa nchi fulani na nchi fulani au hukusoma ulikwepa umande wakati wenzio wanakwenda shule ww unamalizia makande yaliyosalia usiku mpaka akili ikadumaa
 

Jukwa limekuwa lakufedhehesha wenye matiki, hekima na busara

Sasa wewe wakumponda kweli Joka kuu!

Mnalifanya jukwaa kukosa Nidham na kudhalilisha?

Shame on you mkuu.
 
Jukwa limekuwa lakufedhehesha wenye matiki, hekima na busara

Sasa wewe wakumponda kweli Joka kuu!

Mnalifanya jukwaa kukosa Nidham na kudhalilisha?

Shame on you mkuu.

..asante ndugu.

..huyo anajidhalilisha mwenyewe.

..Kanuni yangu hapa JF ni kutokujibu mtu anayenitukana, au nikimjibu basi hufanya hivyo kwa heshima na uungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…