Sasa hao anaoongea nao ndio binadamu wenye akili duniani na sii yule kichaa wa marekani na vichaa wa ulaya.Tena anasema vichaa wote na wenye tuakili tusiofanya kazi sawa sawa,iki wemo tuafrika tu chawa ataturudisha utumwani ili tuakilitwetu tukae sawa.