Wamarekani wamshukia Hasheem Thabeet

Du ndio maana Le Mutuz kakimbia maana hela ya kuzoa taka kuwalipia watoto ilikuwa inakata yote mpaka akaanza utapeli wa kuwaleta watu marekani kwa usd 300 ha ha ha ha you know! Hasheem Jipange usije kuwa kama Le Big Show baharia At NYC.

hahahaaaaa.....!!!!
 
Shule huwa inasaidia sana. Jamaa hana shule yule. Kaondoka hapa o'level kaenda kule kaingia college za kule ila aka-base kwenye kikapu so hayo ndo malipo yake.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Du ndio maana Le Mutuz kakimbia maana hela ya kuzoa taka kuwalipia watoto ilikuwa inakata yote mpaka akaanza utapeli wa kuwaleta watu marekani kwa usd 300 ha ha ha ha you know! Hasheem Jipange usije kuwa kama Le Big Show baharia At NYC.

hahaha,, subir atakuja sasa hiv kujibu
 
- Kaka unanivunja mbavu asubuhi huku bongo eti wewe ni mwanaume au mbebez maana huu umbeya ulioandika siamini unaweza kuandikwa na mtoto wa kiume U know, nilikimbia USA na nilipokwenda ilikuwaje nilikimbia Tanzania au what? ha! ha! ha!

- Mpaka mtashika adabu, mtu akirudi bongo kutoka majuu akiwa sawa na maisha kama nilivyo ndio maneno yenu hayo mengi ya kujifariji na kubaki huko jela ya kujitakia, wewe unajua kwamba huku bongo ninakula bataz tena za uhakika so dawa ni kuniazishia umbeya mwanaume mzima unakuja kuandika maneno kama demu,

- Eti nilipokwenda ilikuwaje nilikimbia bongo au what?

Le Mutuz
 
hahaha,, subir atakuja sasa hiv kujibu

- Ndio maana nilienda shule ili niweze kuzungumza mwenyewe na bila kuogopa U know!!, Super Star Hasheem juzi alikuwa mgeni wa heshima kwenye my Instagram Party pale Mikochen it was koll man to have him there U know!~

Hii post ndio inathibitisha jinsi upstairs ulivyo bogus,jiulize tu Tanzania kuna watoto wa mawaziri na maraisi wangapi na hawana tabia za kipuuzi kama zako??!!

Ule ubunge wa EAC ungepata ungezidi kulitia aibu tu taifa,endelea kuvaa vidani na kupigwa vipara barber shop,you will never grow!!!!
 
Duh aisee huyu sasa mbona child support zitamuua au ndo anaanza kurudisha majeshi bongo kiaina
 
Le big show bongo tambararez ha! ha! ha! mbebz Sintah yuko wapi?
 
Sasa Wabebz Wenzangu Nao Wamezidi Kuji'BEBISHA' kwa Super Tall....
 
Stori yenyewe imekaa kiumbea umbea,labda imeandikwa na TID. Nani mwenye akili timamu anaweza kukubali eti msicha wa kileo wa kimarekani katiwa mimba na NBA player alafu afanye abortion? Tena wanawake wenyewe hawa wa one night stand, yaani hiyo ni bingo ambayo wasicha wote wa kimarekani wanaiota kila siku, yaani kuzaa na super star na maisha ya mseleleko. Let the guy alone afanye familia yake.
 
Ha ha ha Le big Show don't take it personal,no hard feelin' you know ha ha ha ha.
 
Bongo Movie inamsubiria ....aje aungane na vicent kigosi .......Mbona Willy katoboa bana?
 
interesting Kiranga Nyani Ngabu......huyu dogo anajua hizi issue za child support?

Kama anafikiri bado yupo Bongo child support kule USA itamkwangua asibaki na senti tano mfukoni. By the time anarudi Bongo kukimbia child support atakuwa hana kitu. Marehemu Robin Williams aliyejiua majuzi alitumia zaidi ya US Dollars 20M ku settle talaka zake mbili.
 
Ulaya mtu muhimu ni mwanamke. Wanafuata watoto. Baada ya hapo mbwa au paka kama wanaye. Mwanaume wa mwisho. Watamkomba Hasheem hadi tone la mwisho.
 
Wewe ulikimbia child support USA wala si la kuficha hilo na hakuna anaekuonea wivu...

wewe ndo Una wivu kutwa kupondea wanaoishi majuu...

you are too low!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…