Kwa mtu asiyeishi marekani hawezi kuelewa chochote maana ya child support!!!! Ila kwa ufupi wanaume wengi waliozaa watt na wanawake wanaoishi hapa marekani kisha wakakosana wanaishi maisha magumu kupita maelezo, karibu nusu ya mshahara unakatwa juu kwa juu na kupelekwa kwa mama wa watt!!!!na ni mpaka watt wavuke miaka 18, hivyo huyu jamaa Kama amefanya huu mchezo basi ni mtu wa ajabu sana!!!! Hapa marekani wanaume na wanawake tunaishi Kama paka na panya, 1 mistake 1 goal,wanawake wanalindwa na sheria kiasi kwamba wanaume katika taifa hili si chochote!!! Ukizaa na mwanamke hapa lzm uishi nae Kama Mungu, akikugeuzia kibao umekwisha