Msigwa kazoea kutudanganya sisi sasa kakutana na wanaojua kuhoji.Noma sana
Msigwa dish limeyumba.....Hana tofaut na Wema sepetuNi baada ya Msigwa kutoa taarifa ya kwamba, Waziri wa Mambo ya Nje Momba amekutana na kiongozi wa Republican Brian Mast na kuahidi kumsaidia.
Wamemwambia, "Sisi walipa kodi wa Marekani tutahakikisha kuwa unawajibika kwa matendo yako".
Ikumbukwe kwamba serikali ya Tanzania inahaha kupata mtu atakayelishawishi bunge la Marekani kuisafisha Tanzania kwa mauaji iliyofanya.
===============
@MsigwaGerson, stop spreading propaganda @RepBrianMast @BrianMastFL is a principled leader who likely hasn’t been fully briefed on Tanzania’s escalating religious freedom violations, where you violently assault Christian religious leaders and shut down churches for speaking out against evil. Worse yet, on October 29, 2025, your government unleashed a brutal massacre and killed over 1,000+ of unarmed citizens and attempting to conceal the horrors in mass graves.
The US  won’t back tyrants like you. The State Department’s already reviewing all ties over these atrocities. We the American taxpayers will make sure you’re accountable for your actions.
====================View attachment 3516069
Wakiwa wanaongea na wazee wasiojua chochote wanawawekea mikono kiunoni wakifika kwao ni wadogo kama priton.Ile Who the hell are you. Si tunaishi nayo au Msigwa anahitaji.nini.tena kwa mabeberu.
Walipa kodi wa Marekani.Nani amesema.msemaji wa republican
Trump anajua kabisa zile hela za USAID zilikuwa zinapigwa na wajanja kina Msigwa.Trump pamoja na mapungufu yake amenisaidia kufahamu mengi yaliyojificha kwa wanasiasa, media, misaada na hasa USAID.....
Hapo msigwa na huyo mRepublican "nyuma ya pazia kuna HONGO wanapeana, jamaa kapewa kitalu cha kuchimba madini, nk!" NAWAZA TU>
Angejikita kumdanganya mama kuwa walioandamana sio watanzania mama anamwamini sana lkn sio wamarekaniAisee siku hizi msigwa level zake ni Chama Cha Republican marekani ama United States ?..aise maisha yanaenda kasi...
Mimi hilo halinihusu, Mimi Nina mshangao tu kua msigwa kafika republican anaongelewa na wamerakani ni hatua kubwa 😂Angejikita kumdanganya mama kuwa walioandamana sio watanzania mama anamwamini sana lkn sio wamarekani
Ajulikane kwa mazuri basi sasa mtu ajulikane kwa uongo na uzushi kwa nchi kama Marekani hufiki mbali.Mimi hilo halinihusu, Mimi Nina mshangao tu kua msigwa kafika republican anaongelewa na wamerakani ni hatua kubwa 😂
VP ndugu yako alichoma nini sheikh?Huyu mbilikimo Msigwa maandamano yajayo lazima familia yake ifunge turubai hakuna jinsi nyingine lazima naye azike kama tulivyozika sisi watoto wetu.
Ila watu wa CCM akili zao wanazijua wenyewe...huyu naye alijitutumua kama mama yake halafu baadaye wanajaribu kutafuta hata kapicha tu ionekane wanaungwa mkono na beberuz...who are you imewatokea puaniNi baada ya Msigwa kutoa taarifa ya kwamba, Waziri wa mambo ya Nje Kombo amekutana na kiongozi wa Republican Brian Mast na kuahidi kumsaidia.