Wamarekani wamwambia Msigwa aache kumfanyia Kiongozi wa Republican Propaganda za uongo

Aisee siku hizi msigwa level zake ni Chama Cha Republican marekani ama United States ?..aise maisha yanaenda kasi...
Hao watakua wabongo waishio huko,hamna mtu anamjua huyo jamaa wala anachoongea ahoji.
 
Ni baada ya Msigwa kutoa taarifa ya kwamba, Waziri wa mambo ya Nje Kombo amekutana na kiongozi wa Republican Brian Mast na kuahidi kumsaidia.

Wamemwambia, "Sisi walipa kodi wa Marekani tutahakikisha kuwa unawajibika kwa matendo yako".

Ikumbukwe kwamba serikali ya Tanzania inahaha kupata mtu atakayelishawishi bunge la Marekani kuisafisha Tanzania kwa mauaji iliyofanya.
===============

@MsigwaGerson, stop spreading propaganda @RepBrianMast @BrianMastFL is a principled leader who likely hasn’t been fully briefed on Tanzania’s escalating religious freedom violations, where you violently assault Christian religious leaders and shut down churches for speaking out against evil. Worse yet, on October 29, 2025, your government unleashed a brutal massacre and killed over 1,000+ of unarmed citizens and attempting to conceal the horrors in mass graves.

The US  won’t back tyrants like you. The State Department’s already reviewing all ties over these atrocities. We the American taxpayers will make sure you’re accountable for your actions.
====================View attachment 3516069
Bora Samia amchukue Mwandambo kuwa msemaji wake kuliko jitu liongoliongo na lisilo na akili kama Msigwa.
 
Ila watu wa CCM akili zao wanazijua wenyewe...huyu naye alijitutumua kama mama yake halafu baadaye wanajaribu kutafuta hata kapicha tu ionekane wanaungwa mkono na beberuz...who are you imewatokea puani
Huwa wanaongea tuwaone wanaweza kuwacontrol wote kumbe nguvu yao inaishia airport.
 
Wamebaki na KAZI ya kuomba kupiga picha na hao wanaowaita mabeberu
Picha zenyewe sasa, unakaa kama umeenda kujadili mahari.

IMG_20251215_022616.jpg
 
Ni baada ya Msigwa kutoa taarifa ya kwamba, Waziri wa mambo ya Nje Kombo amekutana na kiongozi wa Republican Brian Mast na kuahidi kumsaidia.

Wamemwambia, "Sisi walipa kodi wa Marekani tutahakikisha kuwa unawajibika kwa matendo yako".

Ikumbukwe kwamba serikali ya Tanzania inahaha kupata mtu atakayelishawishi bunge la Marekani kuisafisha Tanzania kwa mauaji iliyofanya.
===============

@MsigwaGerson, stop spreading propaganda @RepBrianMast @BrianMastFL is a principled leader who likely hasn’t been fully briefed on Tanzania’s escalating religious freedom violations, where you violently assault Christian religious leaders and shut down churches for speaking out against evil. Worse yet, on October 29, 2025, your government unleashed a brutal massacre and killed over 1,000+ of unarmed citizens and attempting to conceal the horrors in mass graves.

The US  won’t back tyrants like you. The State Department’s already reviewing all ties over these atrocities. We the American taxpayers will make sure you’re accountable for your actions.
====================View attachment 3516069
Kama hajasikia hatasikia tena! Kama hajaelewa hataelewa tena!
 
Msigwa, kama yalivyo machawa mengine, kama Gentamycin, Tlatlah na Mwashambwa, ni laana kwa taifa. Uwepo wao katika nchi ni hasara tupu.
Nahisi Msingwa anatumia kati ya hizo ID's ulizozitaja, Hizo ID's zinafanana sana na Mambo ya Msingwa.😁😁
 
Hawa si walikuwa wanajigamba kuwa hiyo misaada ni sehemu ndogo tu! Wanahangaika kwenye nchi za watu kufanya nini Sasa🤔
 
Mimi hilo halinihusu, Mimi Nina mshangao tu kua msigwa kafika republican anaongelewa na wamerakani ni hatua kubwa 😂
Mmetuchafulia nchi yetu sana
Nyie watekaji na wauaji

Yaani unafurahi kutrend kw upumbavu
 
Back
Top Bottom