babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Hao watakua wabongo waishio huko,hamna mtu anamjua huyo jamaa wala anachoongea ahoji.Aisee siku hizi msigwa level zake ni Chama Cha Republican marekani ama United States ?..aise maisha yanaenda kasi...
Tena huwa sio anatudanganya maana ukweli huwa tunaujua, huwa anajidanganya mwenyewe kupitia madaraka waliyojipa kwa mtutu wa bunduki.Msigwa kazoea kutudanganya sisi sasa kakutana na wanaojua kuhoji.
Msigwa dish limeyumba.....Hana tofaut na Wema sepetu
Bora Samia amchukue Mwandambo kuwa msemaji wake kuliko jitu liongoliongo na lisilo na akili kama Msigwa.Ni baada ya Msigwa kutoa taarifa ya kwamba, Waziri wa mambo ya Nje Kombo amekutana na kiongozi wa Republican Brian Mast na kuahidi kumsaidia.
Wamemwambia, "Sisi walipa kodi wa Marekani tutahakikisha kuwa unawajibika kwa matendo yako".
Ikumbukwe kwamba serikali ya Tanzania inahaha kupata mtu atakayelishawishi bunge la Marekani kuisafisha Tanzania kwa mauaji iliyofanya.
===============
@MsigwaGerson, stop spreading propaganda @RepBrianMast @BrianMastFL is a principled leader who likely hasnβt been fully briefed on Tanzaniaβs escalating religious freedom violations, where you violently assault Christian religious leaders and shut down churches for speaking out against evil. Worse yet, on October 29, 2025, your government unleashed a brutal massacre and killed over 1,000+ of unarmed citizens and attempting to conceal the horrors in mass graves.
The US οΏΌ wonβt back tyrants like you. The State Departmentβs already reviewing all ties over these atrocities. We the American taxpayers will make sure youβre accountable for your actions.
====================View attachment 3516069
Huwa wanaongea tuwaone wanaweza kuwacontrol wote kumbe nguvu yao inaishia airport.Ila watu wa CCM akili zao wanazijua wenyewe...huyu naye alijitutumua kama mama yake halafu baadaye wanajaribu kutafuta hata kapicha tu ionekane wanaungwa mkono na beberuz...who are you imewatokea puani
Kumbe wazee wa kukomenti kama wewe,ukute akina mange hao
Wamebaki na KAZI ya kuomba kupiga picha na hao wanaowaita mabeberuWanahaha wakutapatapa wananatafuta pakutokea ila wapi
Mwambieni Msigwa na Kombo umbea mwisho airport kule hawana utani wako serious na maisha.Kumbe wazee wa kukomenti kama wewe,ukute akina mange hao
Msigwa ali forge document ya Ford Foundation ya Marekani wakamvumilia akazoea.Wanahaha wakutapatapa wananatafuta pakutokea ila wapi
Picha zenyewe sasa, unakaa kama umeenda kujadili mahari.Wamebaki na KAZI ya kuomba kupiga picha na hao wanaowaita mabeberu
Kama hajasikia hatasikia tena! Kama hajaelewa hataelewa tena!Ni baada ya Msigwa kutoa taarifa ya kwamba, Waziri wa mambo ya Nje Kombo amekutana na kiongozi wa Republican Brian Mast na kuahidi kumsaidia.
Wamemwambia, "Sisi walipa kodi wa Marekani tutahakikisha kuwa unawajibika kwa matendo yako".
Ikumbukwe kwamba serikali ya Tanzania inahaha kupata mtu atakayelishawishi bunge la Marekani kuisafisha Tanzania kwa mauaji iliyofanya.
===============
@MsigwaGerson, stop spreading propaganda @RepBrianMast @BrianMastFL is a principled leader who likely hasnβt been fully briefed on Tanzaniaβs escalating religious freedom violations, where you violently assault Christian religious leaders and shut down churches for speaking out against evil. Worse yet, on October 29, 2025, your government unleashed a brutal massacre and killed over 1,000+ of unarmed citizens and attempting to conceal the horrors in mass graves.
The US οΏΌ wonβt back tyrants like you. The State Departmentβs already reviewing all ties over these atrocities. We the American taxpayers will make sure youβre accountable for your actions.
====================View attachment 3516069
Alidhani wamarekani ni wadengereko.Kama hajasikia hatasikia tena! Kama hajaelewa hataelewa tena!
Nahisi Msingwa anatumia kati ya hizo ID's ulizozitaja, Hizo ID's zinafanana sana na Mambo ya Msingwa.ππMsigwa, kama yalivyo machawa mengine, kama Gentamycin, Tlatlah na Mwashambwa, ni laana kwa taifa. Uwepo wao katika nchi ni hasara tupu.
π
Mmetuchafulia nchi yetu sanaMimi hilo halinihusu, Mimi Nina mshangao tu kua msigwa kafika republican anaongelewa na wamerakani ni hatua kubwa π
Mmetuchafulia nchi yetu sana
Nyie watekaji na wauaji
Yaani unafurahi kutrend kw upumbavu