Wamarekani wanalalamikia uongozi wa Trump angali wao wenyewe ndio waliomchagua wakiwa na akili timamu bila kushurutishwa

Wamarekani wanalalamikia uongozi wa Trump angali wao wenyewe ndio waliomchagua wakiwa na akili timamu bila kushurutishwa

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
1000063804.jpg
Maumivu ya uongozi wa Trump yametokana na Wamarekani wenyewe kwasababu ya kumpa Trump uraisi
Maana ya kupiga kura ni kumchagua kiongozi mwenye ueledi wa kuongoza Wananchi wake

Trump ameshawahi kuwa raisi na mkaona impacts zake kama hakustahili kuwa raisi mlimpaje tena kura

Trump amekuwa akifanya maamuzi magumu yanayoliza mamilioni ya mioyo ya watu huu ni mwanzo tu tayari ameshaleta maumivu makali inawezekana huko mbeleni hali ikawa mbaya zaidi
 
Hivi tramp katika utawala wake kuna nchi ya kiafrika atafanya ziara ya kuitembelea au hana mpango mpango kabisa na waafrika?
 
Back
Top Bottom