Maumivu ya uongozi wa Trump yametokana na Wamarekani wenyewe kwasababu ya kumpa Trump uraisi
Maana ya kupiga kura ni kumchagua kiongozi mwenye ueledi wa kuongoza Wananchi wake
Trump ameshawahi kuwa raisi na mkaona impacts zake kama hakustahili kuwa raisi mlimpaje tena kura
Trump amekuwa akifanya maamuzi magumu yanayoliza mamilioni ya mioyo ya watu huu ni mwanzo tu tayari ameshaleta maumivu makali inawezekana huko mbeleni hali ikawa mbaya zaidi