Wamarekani watatu wameaga Dunia katika shambulio la kambi la jeshi la Simba

Wamarekani watatu wameaga Dunia katika shambulio la kambi la jeshi la Simba

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kwanza, Watanzania waliokuwa wakisema KDF ni maembe mtasema nini kuhusu Marekani ambao wamepoteza watu watatu katika shambulio hili? Mtaita jeshi la Marekani maembe?
Pili, Hawa Wamarekani kwa nini walikataa Shabab kutangazwa kama kundi la ugaidi pale UN? Sasa ona matokeo ya siasa mbaya pale UN. Shabab watandikwe bila huruma. Natumai Marekani wamerudisha akili kichwani na watawacha siasa mbaya pale UN na kudeclare Shabab as a dangerous terrorist organisation.
Tatu, Mola alaze roho za walioaga mahali pema peponi

====

BREAKING: 1 US service member and 2 US Dept. of Defense contractors were killed, and 2 Dept. of Defense "members" injured, in attack at Manda Bay Airfield by al-Shabab terror group in Kenya - NBC News

Update on Lamu attack: US confirms three Americans killed, two injured - Citizentv.co.ke

Three American citizens were killed and two others wounded in Sunday’s Al Shabaab attack on a Kenyan military base in Manda Bay, Lamu County.

This according to a latest update from the US Africa Command, the body responsible for America’s military relations with other nations and regional organizations in Africa.

According to the US Africa Command, the deceased include one US Service member and two Department of Defence contractors.

On the other hand, the injured, who are reported to be in stable condition, are members of the Defense Department.

“Our thoughts and prayers are with the families and friends of our teammates who lost their lives. As we honour their sacrifice, let us also harden our resolve. Alongside our African and international partners, we will pursue those responsible for this attack and al-Shabaab who seeks to harm Americans and US interests,” said Commander of the US Africa Command, General Stephen Townsend.

“We remain committed to preventing al-Shabaab from maintaining a safe haven to plan deadly attacks against the US homeland, East African and international partners,” he added.

The US Africa Command further noted that the militants penetrated the military base compound but were repulsed by Kenya Defence Forces and US soldiers.
Six contractor-operated aircraft were damaged in the attack that involved indirect and small arms fire, according to the US Command.

A statement issued by the Kenya Defence Forces on Sunday did not disclose the number of military casualties suffered but it revealed five terrorists had been killed.
 
Kwanza, Watanzania waliokuwa wakisema KDF ni maembe mtasema nini kuhusu Marekani ambao wamepoteza watu watatu katika shambulio hili? Mtaita jeshi la Marekani maembe?
Pili, Hawa Wamarekani kwa nini walikataa Shabab kutangazwa kama kundi la ugaidi pale UN? Sasa ona matokeo ya siasa mbaya pale UN. Shabab watandikwe bila huruma. Natumai Marekani wamerudisha akili kichwani na watawacha siasa mbaya pale UN na kudeclare Shabab as a dangerous terrorist organisation.
Tatu, Mola alaze roho za walioaga mahali pema peponi

">January 5, 2020
Acha kujitetea, kwenye vita lazima vifo na majeruhi vitokee. Katika hili shambulizi Ashabab wameshindwa hawakuweza kuteka kambi kama walivyofanikiwa kuziteka kambi za KDF huko Somalia.

Kama ingekua ni kambi ya KDF pekee, ninakuhakikishia kambi nzima ingetekwa, wangechukua silaha na vifaa vya kivita, na Serikali ya Kenya ingekataa kutoa idadi ya wanajeshi wa Kenya waliokufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama kwa Kenya kupeleka jeshi Somalia ni kubwa sana, Kenya haukupaswa kuingia Somalia ili kuzuia Alshabaab kujiingiza Kenya na kuteka watalii, ilipaswa kuimarisha ulinzi katika mipaka yake, huu ni muendelezo wa maamuzi ya kukurupuka yanayofanywa na Serikali ya Kenya.

Viongozi wa Kenya walikua wanajua wazi kwamba Somalia walishindwa wamarekani kumalizia ugaidi, vipi wafikie uamuzi kupeleka KDF ambao hawajaahi kupigana vita yoyote duniani na wategemee kuwadhibiti Alshabaab?. "Very poor military intelligence "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
poleni sana mashababii! mabikra mtawabikiri kweli kweli kulee jannah firdaus! 😎 🙄

ENiPR4yWoAIhj_W.jpg
ENiPQY7WkAAC0E3.jpg
ENh1BxIUUAEW9mk.jpg
weli kweli kulee janaah firdaus!🙄 😎
 
Marekani imethibitisha kuwa raia wake watatu, mwanajeshi mmoja na wahandisi wawili waliuawa wakati kundi la Al-Shabaab liliposhambulia Kambi ya Simba mjini Lamu, inayotumiwa na Jeshi la Kenya na Marekani. Mbali na hao, wengine wawili walijeruhiwa na sasa wanaendelea na matibabu. Swahili Times on Twitter
 
Acha kujitetea, kwenye vita lazima vifo na majeruhi vitokee. Katika hili shambulizi Ashabab wameshindwa hawakuweza kuteka kambi kama walivyofanikiwa kuziteka kambi za KDF huko Somalia.

Kama ingekua ni kambi ya KDF pekee, ninakuhakikishia kambi nzima ingetekwa, wangechukua silaha na vifaa vya kivita, na Serikali ya Kenya ingekataa kutoa idadi ya wanajeshi wa Kenya waliokufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umebadilisha gear tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujitetea, kwenye vita lazima vifo na majeruhi vitokee. Katika hili shambulizi Ashabab wameshindwa hawakuweza kuteka kambi kama walivyofanikiwa kuziteka kambi za KDF huko Somalia.

Kama ingekua ni kambi ya KDF pekee, ninakuhakikishia kambi nzima ingetekwa, wangechukua silaha na vifaa vya kivita, na Serikali ya Kenya ingekataa kutoa idadi ya wanajeshi wa Kenya waliokufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Low IQ man, wacha nikuhakikishie kwamba Kama ingekuwa Ni kambi la TPDF , Alshababe wangelikuja na pangas and capture your soldiers alive without firing a single shot.
 
Back
Top Bottom