Wamarekani watatu wameaga Dunia katika shambulio la kambi la jeshi la Simba

Hivi askari wa marekani ukimuwahi risasi huwa hawafi,
Kwamba wao ni wagumu risasi haiiingii?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha neno kubishana na kulumbana, sipo tayari kubishana na watu njaa njaa, ila nipo tayari kulumbana kwa hoja za msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha blah blah nyingi. Unajiona cake na huwa unakesha kwenye jukwaa hili la Kenya wakati wakenya huwa hawana muda na hayo majukwaa yenu
mengine? Face the truth, level yako ni ya mihogo ya msituni.
 
Acha blah blah nyingi. Unajiona cake na huwa unakesha kwenye jukwaa hili la Kenya wakati wakenya huwa hawana muda na hayo majukwaa yenu
mengine? Face the truth, level yako ni ya mihogo ya msituni.
Wakenya mumejazana hapa JF kwasababu "Forums" zenu zimejaa ujinga, kuchukiana na ukabila, rudini katika forums zenu muone kama tutawafuata. Tanzania unites East Africa, while Kenya divides"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya mumejazana hapa JF kwasababu "Forums" zenu zimejaa ujinga, kuchukiana na ukabila, rudini katika forums zenu muone kama tutawafuata. Tanzania unites East Africa, while Kenya divides"

Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa, mlitushobokea wenyewe mlipotuwekea jukwaa letu hapa Jf. [emoji1] Anyway, naona kama internet inakukanganya kidogo, ni jf.com, sio jf.co.tz. Inafaa hata nyinyi pia mrudi kwenu Tz. Huku ni international sphere, sio kule kwenu Mbagala.
 
Hahahaha, ulishaona watanzania wakijazana "KoT", au watanzania wakiwa wapenzi wa Gormahiya au FC-Leopard kama wakenya walivyo wapenzi wa Yanga na Sumba?, acheni ukabila muwe kitu kimoja, vinginevyo mtaendelea kujazana hapa JF na kushabikia timu za Tanzania na wanamuziki WETU hadi mwisho wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Which unity are you talking about? Unity ya kuchinja albino?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, unity ya kuchinja Jaluo waliokimbilia kujificha ndani ya NYUMBA ya Mungu.

Hasira na chuki miongoni mwenu vimepitiliza kiasi cha kumpuuza hata Mungu, hamuheshimu wala kuogopa Mungu kwa sababu ya kuchukiana. Stupid Kenyans.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KOT sio mtandao wa kijamii, inamaanisha Kenyans On Twitter. 😀 Boss, ushamba utakuua. Tupo kwenye mitando yote. Kwenye hizi forums zote pia tupo, skyscrappercity, quora, nairaland. This is the net jombaa, sio uzinduzi wa watz, sote tupo hapa kama wageni. Leo ndio nasikia kutoka kwako kwamba wakenya huwa wanashabikia Yanga na Simba. Boss, Tz na michezo wapi na wapi? Yaani tuwagaragaze kwenye michezo yote chini ya jua alafu tuwashabikie pia? [emoji1]
 
Hahahaha, hizo picha za wakenya hapo Machakosi wakishabikia Simba hujaziona?, sababu kubwa ni kwamba, timu zenu huko zimeanzishwa kwa misingi ya ukabila, Gormahiya, FC-Leapard na zinginezo, kwahiyo makabila yasiyokuwa na timu yameamua kufuatilia timu za Tanzania.

Kuhuju mitandao ya kijamii ni hivyo hivyo, ukigusa mtandao ambao sio kabila lako, lazima watakujua na utaanza kushambuliwa hadi utatoka. Tunapita sana katika majukwaa yenu mbalimbali, ninyi ni wabaguzi na wakabila sana, hapa JF ndio mpo free kwa sababu mpo na watanzania ambao tumestaarabika hatuzungumzi ukabila, hiyo ndio sababu wengi mnakimbilia JF. Acheni ukabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliokuwa wamejificha ndani ya Kiambaa church walikuwa hao hao Wakikuyu unaowachukia. Fanya research kidogo kabla ya kuropokwa.
 
Hii ndio tafsiri kamili ya hadithi za vijiweni. Jombaa, wanasema kwa kimombo, practise what you preach. Sio unakariri tu wakati wewe ndio mbaguzi hodari. Dhidi ya wakenya, wapinzani, watu wa kanda na dini zingine n.k. Utaruka, ushuke, uimbe, ukeshe humu ukimwaga povu, miaka nenda miaka rudi, ila hakuna pahali ambapo wakenya wanaenda. We are here to stay, deal with it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…