Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Only Kunyaman can reason this way[emoji23][emoji23][emoji23]The fact that Wakenya wana pesa ya kuinvest katika nchi yenu masikini na nyie hamna pesa ya kuinvest huku Kenya speaks for itself. Kila mtu anajua nyie masikini wa kutupwa hamna pesa ya kuinvest katika nchi nyingine.
Hata Dangote hataki kusikia neno Kenya, hivi ni investor gani nwenye akili timamu atoke Tanzania aje kuwekeza pesa yake kwenye nchi ambayo ni "politically unstable, full of corruption, high crime rate, Terrorism and Nepotism?[emoji23][emoji23][emoji23]The fact that Wakenya wana pesa ya kuinvest katika nchi yenu masikini na nyie hamna pesa ya kuinvest huku Kenya speaks for itself. Kila mtu anajua nyie masikini wa kutupwa hamna pesa ya kuinvest katika nchi nyingine.
Sema tu kwamba hamna pesa ya kuwekeza. Hata Uganda hamjawekeza ilhali sisi tumewekeza sana. Vile vile South Sudan tumewekeza sana. Nyie pesa hio ya kuwekeza hamna.Hata Dangote hataki kusikia neno Kenya, hivi ni investor gani nwenye akili timamu atoke Tanzania aje kuwekeza pesa yake kwenye nchi ambayo ni "politically unstable, full of corruption, high crime rate, Terrorism and Nepotism?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo hata Dangote Hana pesa?, huko kote ulikotaja hajawekeza, hizo nchi zote ulizozitaja, Uganda, South Sudan na Kenya zinafana kwa rushwa, ukabila, crime rate, political violance na Nepotism. Hivi kweli Mo na Bakhresa wanashindwaje kuja kuwekeza Kenya?, Utajiri wao kwa pamoja ni sawa na matajiri 10 wa kwanza wa Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]Sema tu kwamba hamna pesa ya kuwekeza. Hata Uganda hamjawekeza ilhali sisi tumewekeza sana. Vile vile South Sudan tumewekeza sana. Nyie pesa hio ya kuwekeza hamna.
Kama hamtaki tuwekeze kwenu kisa mnaogopa competition kisa viongozi wenu wana interests kwenye uwekezaji sisi tufanyaje?The fact that Wakenya wana pesa ya kuinvest katika nchi yenu masikini na nyie hamna pesa ya kuinvest huku Kenya speaks for itself. Kila mtu anajua nyie masikini wa kutupwa hamna pesa ya kuinvest katika nchi nyingine.
Kwahiyo hata Dangote Hana pesa?, huko kote ulikotaja hajawekeza, hizo nchi zote ulizozitaja, Uganda, South Sudan na Kenya zinafana kwa rushwa, ukabila, crime rate, political violance na Nepotism. Hivi kweli Mo na Bakhresa wanashindwaje kuja kuwekeza Kenya?, Utajiri wao kwa pamoja ni sawa na matajiri 10 wa kwanza wa Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha naona mumeanza kujitetea ila mnaleta excuse kibao sana badala ya kukubali kwamba hamna uwezo wa kuwekeza hata Burundi. Kanchi kadogo, katoto kenu hako kanawashinda kuinvest, Kenya ndio mtawezana nayo?Kama hamtaki tuwekeze kwenu kisa mnaogopa competition kisa viongozi wenu wana interests kwenye uwekezaji sisi tufanyaje?
View attachment 2163600![]()
Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya
Businessman Rostam Aziz has said the relationship between Tanzania and Kenya is skewed, saying it is very easy for Kenyans to invest in Tanzania and the reverse for Tanzanians, urging the...www.thecitizen.co.tz
Mo ana viwanda kila nchi, Msumbiji, Zambia, Djibouti, na Bakhresa ana viwanda kila Kona, lakini hawawezi kuja Kenya kutokana na sababu nilizokutajiaHahaha naona mumeanza kujitetea ila mnaleta excuse kibao sana badala ya kukubali kwamba hamna uwezo wa kuwekeza hata Burundi. Kanchi kadogo, katoto kenu hako kanawashinda kuinvest, Kenya ndio mtawezana nayo?