Wamarekani weusi wa Zanzibar

Wamarekani weusi wa Zanzibar

Waarabu wa Oman wanakitaka kisiwa kile kwaajiri ya masilahi yao.... Pale gesi na mafuta havikosekani. Lakini pia kile ni kisiwa cha utalii. So jamaa wanaleta choko choko ili tugombane wao wapate wanachotaka.

Wakae huko huko Oman. Wazanzibar wanajenga uchumi wa blue. Watu wakiondoa umaskini, hata siasa kali huwa zinaondoka.
Tuanze kupambana kuwapa watu maendeleo
 
Back
Top Bottom