wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
- Thread starter
- #21
Lakini wanaipenda sana afrika. They are good and positive people..wanaipenda afrika kwa dhati kuliko hata wazungu wenyewe. Kwa sababu hata wenyewe wanasema afrika ndo destination yao.
Mazingira yanawafanya wawe juu kwetu kwa kila kitu.Uzaliwe USA halaf uwe kilaza kama upo timamu.
America ni developed nation hivyo raia wake wote lazima wawe na weledi mkubwa kulinganisha na mataifa mengine tukiwemo Africa.
Hata China imemepiga hatua kwa kuwatumia diaspora wa kichina waliokuwa USA.
Viongozi wa Africa wanahofia sana diadpora kwa sababu wanaweledi na exposure ya kutosha kuliko sisi waafrica.
USA inachota na kutumia maarifa ya waafrika( diaspora) kwa kiasi kikubwa sana huku sisi hatuna habari nao.
Nilishangaa kusoma kuwa MOSFET TRANSISTOR,security codes pamoja na teknolojia mbalimbali iligunduliwa na mmisiri.
Waafrika sasa tuamke tutumie damu zetu za nje kuleta maendeleo barani kwetu.