Wamasai 150,000 kuhamishwa kwa nguvu!

Kweli ni ukiukwaji wa haki mkubwa. Halfu wanaficha na wanafanya propaganda eti wanahama wenyewe .... sasa kama wanahama wenyewe kwa nini huko wanakokwenda wanawajengea nyumba .......!!
Unapo muambia mtu ahame lazima umuandalie kwa kumpeleka,moja ya maandalizi ndio hayo.
Unapoambiwa kuhama mwenyewe inamaana kuitikia wito bila force.
 
Ukiona hivyo ameshajengewa nyumba za kutosha nje
 
Unaongea ukiwa umevembewa maharage sijui ya wapi au ni vile wewe huko kule loliondo
 
Tukiwaambia tunataka katiba Mpya mnawananga wengine kuwa hii inatatizo gani ila ngorongoro lazima wahame hata mkiweka sala gani
 
Mina na wee nani mjinga katiba iliyopo unaijuwe au unanongea kama mwanaharakati
 
Machozi yakifurika kikombe Cha ghadhabu, Alie juu atajibu.
 
Hao sio wakazi, hawana makazi ya kudumu, wanazurura tu na mifugo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…