Wamasai kaeni tu mkoani mmejaa sana Dar manaaibisha aisee

Kwaiyo unampangia Mtu Sehemu ya kuishi? Ngombe wakifa tutakula mchicha tu waache wamasai wale Bata wawasuke dada zetu
Hata machine wa wapige vzr kabisa maana watu mjini nguvu zenyewe hakuna zimemalizwa na madeni bank na saccos
 


Mpumbavu kweli wewe!
 
Wanafukuzwa kila kona...
 
HHahahaha! Ila wee jamaa nimecheka mpaka basi, wote tulikuwa tunaishi mapolini ila wamasai wamechelewa sana kuja mjini huu ndio wakati wao.
 
HHahahhah[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye radio
 
[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38]watu wajeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…