Wamasai Ngorongoro kuhama kwa hiari

Maskini wee wameshafitinishwa
 
Sasa hivi tutawekewa mabomba ya dawa za kimasai kila nyumba maana kila kona zitakua zinauzwa.
Nawaza, kama kweli wakihamishwa ni wakati muafaka wa kuanzisha kampuni ya ulinzi ambayo wanalinda wamasai tu. Naanza kupokea CV hivi punde
 
hatari sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…