Wamasai Ngorongoro kuhama kwa hiari

Wamasai Ngorongoro kuhama kwa hiari

Mwarabu katoa rushwa kubwa sn kwa hawa wapuuzi aanze kusafirisha wanyama kwenda nje, pia wakala mkuu wa pembe za ndovu amerudishwa rasmi kwenye system
Kwani hao masai ni walinzi wa wanyama? Nini kinazuia mwarabu asisafirishe hao wanyama kipindi chote hicho wakati ana kibali cha uwindaji?
 
Sory; OBC wapo Loliondo, not Ngorongoro. Lakini Nini mnadhani kuwa kutakuwa usafirishaji wa Wanyama baada ya hiyo jamii kuhama? Nini kinazuia hao wanyama wasisafirishwe sasa?
Kuna TISS wengi huko wamekaa kama wamasai kumbuka wakishaondoka hakutakuwa na mtu humo ndani ni rahisi kukamata wanyama mchana na ndiyo lengo la mwarabu
 
Kwani hao masai ni walinzi wa wanyama? Nini kinazuia mwarabu asisafirishe hao wanyama kipindi chote hicho wakati ana kibali cha uwindaji?
Nini kiliwafanya wawaondoe kwa nguvu Loliondo kipindi cha Kikwete hadi wakawachomea nyumba baada ya kupewa eneo hao waarabu?
 
Sory; OBC wapo Loliondo, not Ngorongoro. Lakini Nini mnadhani kuwa kutakuwa usafirishaji wa Wanyama baada ya hiyo jamii kuhama? Nini kinazuia hao wanyama wasisafirishwe sasa?
Wewe nini kinazuia mkeo asitatuliwe marinda pembeni yako kitandani? Wadau wanaogopa nini hasa ukiwepo
 
Back
Top Bottom