joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Hii ni kuthibitisha kwamba Kenya sio nchi rafiki na Tanzania. Kwa upande mwengine udhahifu wa serikali ya awamu ya SITA unajidhihirisha wazi kabisa kwa kushindwa kumuita balozi wa Kenya kutoa maelezo kufuatia matamko ya baadhi ya wanasiasa Kenya kuingilia Mambo ya ndani ya nchi.
Kitendo cha Spika la bunge la Tanzania kulichukulia kirahisi hili jambo kufuatia mbunge mmoja wa Tanzania kulizungumzia kwa ufasaha, pia Kuna onyesha ni jinsi gani hii mihimili mikuu jinsi ilivyodhahifu.
Tony254
Geza Ulole
The best 007
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app